Habari Mpya
recent

VYOMBO NA TAASISI ZA KISWAHIL


VYOMBO /TAASISI/VYAMA VYENYE LEONGO LA KUSIMAMIA,KUKUZA KUENEA  NA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI NI;

NA
JINA KAMILI
UFUPISHO
MWAKA KILIOANZISHWA
NCHI KILIOPO
1.
BARAZA LA KISWAHILI TANZANIA
BAKITA
1967
TANZANIA
2.
BARAZA LA MITIHANI TANZANIA
BAMITA
1967
TANZANIA
3.
BARAZA LA KISWAHILI ZANZIBAR.
BAKIZA
1984
ZANZIBAR
4.
BRITISH BROADCASTING COOPERATION
BBC
1950
LONDON
5.
CHAMA CHA KISWAHILI KENYA.
CHAKIKE
1980
KENYA
6.
CHAMA CHA KISWAHILI TAIFA.
CHAKITA
1998
KENYA
7.
CHAMA CHA KISWAHILI AFRIKA.
CHAKA
1978
TANZANIA
8.
CHAMA CHA UKUZAJI KISWAHILI DUNIANI.
CHAUKIDU
2012
TANZANIA
9.
CHAMA CHA WANAFUNZI WA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI.
CHAWAKAMA
2004
KENYA
10.
CHAMA CHA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM.
CHAKIKUDA
1996
TANZANIA
11.
TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI
TATAKI
2009
TANZANIA
12.
TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA

1963
TANZANIA
13
TAASISI YA UKUZAJI WA KISWAHILI
TUMI
1987
TANZANIA
14
CHAMA CHA USANIFISHAJI WA KISWAHILI NA USHAIRI
UKUTA
1959
TANZANIA
15
UMOJA WA WAANDISHI WA VITABU TANZANIA
UWAVITA
1974
TANZANIA
16
RADIO FREE AFRICA
RFA
1997
TANZANIA
17
ZANZIBAR BROAD CASTING CORPORATION
ZBC
1941
ZANZIBAR
18
BARAZA LA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI
BAKAMA
2002
TANZANIA
19
UNIVERSITY MISSION TO CENTRAL AFRICA
U.M.C.A
1875
UINGEREZA
20
BARAZA LA UKUZAJI MITAALA
BAUMI
1996
TANZANIA

No comments: