KONGAMANO LA KISWAHILI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Profesa Alawia Omar Saleh, alipowasili katika viwanja vya Wizara ya habari kikwajuni kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni. Siku ya tarehe 21/12/2018
No comments: