Habari Mpya
recent

UKAGUZI WA VITABU VYA KISWAHILI



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Dk. Mohammed Seif Khatib wakiangalia baadhi ya vitabu vya fasihi simulizi vilivyochapishwa na Mkuki na Nyota wakati wa Kongamano hilo.

No comments: